HOME

Feb 12, 2012

ONYESHO LA LADY IN RED RELOUDED 2012 LILIVYOCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUJENGA KITUO CHA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA!!

Asia Idarous Hamsini muandaaji wa lady in Red Relouded 2012 na mumewe pamoja na models wake

Moja kati ya wabunifu wa mavazi akiwa na models wake

Mama Ailinda Sawe akionyesha mavazi yake

Mbunifu mahiri wa mavazi Ally Remtullah hakubaki nyuma

Asia Idarous akipiga mnada suti kuchangia fedha za kujenga kituo cha waathirika wa dawa za kulevya






No comments:

Post a Comment