HOME

Feb 3, 2012

NBA YATANGAZA MAJINA YA WATAOCHEZA ''ALL STARS'' FEBRUARY 26!!


Kobe Bryant mmoja wa wachezaji All Stars Game 2012


































Shirikisho la mpira wa kikapu nchini Marekani NBA leo limetangaza majina ya wachezaji wa magharibi na mashariki watakaoanza mchezo wa All stars unaowahusisha wachezaji nyota nchini humo utakaopigwa Orlando February 26.


Timu ya magharibi itaanza na wachezaji Andrew Bynum,Kevin Durant, Blake Griffin,Kobe Bryant na Chris Paul wachezaji hupigiwa kura na wapenzi wa mchezo huo.


Kwa upande wa timu ya mashariki mashabiki wamewapigia kuwa Dwight Howard,LeBron James, Carmelo Anthony,Derrick Rose, na Dwyane Wade.

No comments:

Post a Comment