HOME

Feb 6, 2012

NEWYORK GIANTS MABINGWA SUPERBOWL!!


Mchezaji Ahmad Bradshaw akizungumza baada ya michuano hiyo iliyomalizika mapema leo asubuhi baada ya kuiwezesha timu yake kuchukua ubingwa Super Bowl
















Mchezaji Ahmad Bradshaw alifunga mpira wa mwisho na kuiwezesha timu ya American football ya New York Giants kushinda ubingwa wa Super Bowl kwa  21-17 kwa kuifunga New England Patriots katikia mpambano uliopigwa Indianapolis mapema leo.


ELI Manning alipigga mpira mrefu wa mita 78 na kupokelewa na Ahmad Bradshaw ndani ya yard sita na kuuvusha mstari bila kubughudhiwa na walinzi wa Patriots ikiwa imesalia dakika moja sekunde 4.


New England ilijaribu kumpa mipira Tom Brady katika jithada za kuitaka kurejea mchezoni lakini ngome ya Giants ilikuwa imara kuwazuia na kujiparia ushindi.

No comments:

Post a Comment