HOME

Feb 3, 2012

MKUFUNZI NGULI WA NGUMI LONDON AFARIKI DUNIA!!


Mkufunzi nguli wa ngumi Angelo Dundee amefariki dunia huko Florida nchini Marekani akiwa na umuri wa miaka 90.


Dundee maarufu kwa kumfundisha na kufanyakazi na Mohamed Ali kwa miaka 20 inasemekana alipata ugonjwa wa moyo baada ya kupelekwa Hospitali akiwa na tatizo la kuganda kwa damu.


Dundee alimuongoza Ali katika mapambano yaliyozoa umaarufu mkubwa ikiwa ni pamoja na pambano la "The Rumble in the Jungle" dhidi ya bondia George Foreman .

No comments:

Post a Comment