Bw. Joshua Nassari wa tatu kutoka kushoto akipongezwa na katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Arumeru Mashariki.
Hatimaye kinyang'anyiro cha kiti cha Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kati ya Joshua Nassari wa CHADEMA na Sioi Sumari wa CCM kimefikia tamati leo baada ya msimamizi Bw. Trasius Kagenzi kumtangaza Joshua Nassari kuwa mshindi kwa kupata kura 32972 akifuatiwa na mgombea wa CCM aliyepata kura 26757.
No comments:
Post a Comment