Wacheza mpira wa kikapu timu ya Andy 1 ambao wako Bongo kwa sasa leo walipata nafasi ya kutembelea studio za East Africa Radio na kufanya interview katika kipindi cha Power Jams na Sam Misago,Anna Peter na Dj AD ambaye jana alisherekea siku yake ya kuzaliwa. |
No comments:
Post a Comment