Wanajeshi wamechukua udhibiti wa mji mkuu wa Guinea-Bissau katika kile kinachonekana kuwa jaribio la mapinduzi.
Milio ya silasha nzito ilisikika katika mji wa Bisau na makazi ya rais anayeondoka madarakani Carlos Gomes inasemekana yalishambiliwa.
Majeshi hayo pia yanasemekana yamechukua udhibiti wa Radio ya taifa katika makao makuu ya chama utawala ambapo umoja wa nchi za Afrika magharibi ECOWAS imelaani kile kilichoelezwa kuwa jaribio la mapinduzi.
No comments:
Post a Comment