HOME

Apr 5, 2012

UJUMBE WA SERIKALI YA MPITO YA LIBYA WAKUTANA NA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM!!


Ujumbe wa Serikali ya Taifa ya Mpito ya Libya, ukiongozwa na Mheshimiwa
Mahdi M Gaziri (watatu kushoto.), Mkuu wa Ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali
hiyo,ukiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete baada ya ujumbe huo kuwa  umekutana naye Ikulu, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment