HOME

Apr 11, 2012

MAMA MZAZI WA LULU AZUNGUMZA JUU YA TUHUMA ZINAZOMKABILI MWANAE!!

Mama mzazi wa Lulu amezungumza na kipindi cha wanawake Live kinachorushwa na EATV na kusema ana masikitiko na msiba wa Kanumba ambaye alikuwa ni mwanae na kumpa pole mzazi mwenzie mama Kanumba, na akaomba watu na vyombo vya habari kuacha kuhukumu na kuegamia upande mmoja, akisema wale wote ni watoto, na aliomba wanaharakati wamsadie katika matatizo haya kwa mwanae na hili suala liko mahakamani na iachiwe mahakama ifanye kazi yake na watu waache kuhukumu.

No comments:

Post a Comment