HOME

Apr 4, 2012

SOKO LA SAMAKI FERI LILIPOWAKA MOTO LEO ASUBUHI!!

Picha zote na Hassan Mabuye
Soko la feri upande wa kukaangia samaki limeshika moto leo tarehe 4/4/2012 asubuhi katika muda wa saa nne (4) mpaka sita (6) nakulazimu gari la zima moto yaani fire kuja kuuzima moto huo ambao ulikuwa unaendelea kuzimwa na wananci wengi ambao  ni wachuuzi wa samaki sokoni hapo.


Hata hivyo haikujulikana ni hasara kiasi gani imesababishwa na moto huo na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa katikla tukio hilo.



No comments:

Post a Comment