HOME

Apr 13, 2012

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MWENYEKITI,WAJUMBE TUME YA MABADILIKO YA KATIBA IKULU LEO!!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amewaapisha Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.

Tume hiyo ya mabadiliko ya katiba ikiongozwa na mwenyekiti Jaji Joseph Warioba yenye wajumbe 30 iliyoapishwa na rais Kikwete itaanza kazi zake rasmi tarehe 1, Mei, 2012 kama ilivyopangwa na kutangazwa awali.

No comments:

Post a Comment