MZUKA WA SHOW KALIII YA KIJANJA ''5SELEKT SUPA DUPA''!!!
Hii ni show ya kijanja mpya kabisa inakwenda kwa jina la 5Selekt Supa Dupa hurushwa kila siku za Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa tisa kamili mpaka kumi na moja Jioni EATV Pekee hapo unakutana na Tbway na Baby Drama Faiza wakikupa mastori na burudani za kutosha bila kusahau wageni ambao pia huwa kivutia kwa watazamaji.
Tony au Tbway akiwa na Erick ambaye ni fan wa 5selekt aliyepata nafasi ya kualikwa studio na Moracka.
Timu ya 5Selekt Supa Dupa na wageni Moracka na Erick
Picha juu ya Picha''Moracka,Alex na Tbway Usikose kutazama show hii kali kamwe hautajutia
No comments:
Post a Comment