HOME

Apr 11, 2012

KANUMBA AZIKWA NA MAELFU DAR!!

Mwili wa Marehemu Steven Charles Kanumba ukiwa viwanja vya Leaders tayari kwa kuagwa.
Ndugu,marafiki na viongozi mbalimbali wa nchi wakiwa pembeni ya mwili wa Marehemu Kanumba viwanja vya Leaders
Mmoja oya watu walioshindwa kujizuia akiwa amezimia
Maelfu ya raa waliojitokeza kumzika Kanumba katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam

Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu akiwa amebebwa kukimbizwa hospitalini baada ya kuishiwa nguvu na kuzimia katika msiba huo
Hapo ndipo makazi mapya ya milele ya mpendwa wetu Steven Kanumba katika makaburi ya Kinondoni jijni Dar es salaam.
 

No comments:

Post a Comment