HOME

Apr 18, 2012

MORACKA AFUNGUA STUDIO YAKE MPYA YA MUZIKI!!

Moracka (kulia) baby Drama Faiza(Kati) na Erick
Msanii wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Moracka amefungua studio yake mpya ya kurekodi muziki aliyoipa jina la MyRecords iliyopo maeneo ya Sinza itakayokuwa chini ya Producer mkali Bob Chidy.


Moracka amefunguka kuwa studio hiyo yenye takribani wiki mbili tu imeshatoa ngoma mbili zinazotamba za wasanii walio kwenye tasnia ya bongo Movie na sasa kugeukia muziki akiwemo Flora Mvungi Sinaga na Together Crew ambapo pia anaendelea kusainisha mkataba wasanii ambao watakuwa chini ya lebo yake na mpaka sasa wasanii sita wameshaingia mkataba na lebo yake.

No comments:

Post a Comment