Tume ya kupambana na Ukimwi nchini Uganda (UAC) imefafanua kuwa bado hakuna dawa ya kutibu Ukimwi na kuwataka waganda kwenda kupima kujua afya zao iwapo
wameambukizwa ama laa.
Pia tume hiyo imewataka wale wanaobainika kuambukizwa ugonjwa huo kufuata ushauri nasaha na kuanza kutumia dawa za kurefusha maisha katika maisha yao.
Taarifa ya UAC iliyotolewa, imesema kuwa kuacha kutumia dawa kunaweza kusababisha madhara makubwa kwa mwathirika wa Ukimwi.
No comments:
Post a Comment