HOME

Apr 19, 2013

9 WAFA KWA KUPIGWA RISASI GARISA,KENYA!!


Baadhi ya majeruhi wa tukio hilo
Jeshi la polisi katika mji wa Garisa nchini Kenya wameanza operesheni kubwa kuwasaka watu waliofanya mauaji ya watu tisa kwa kuwapiga risasi.

Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo
lililotokea jana usiku.

Idadi ya watu wasiojulikana walivamia hoteli moja ya Kwa Chege
katika barabara ya msikiti wa Jamia na kufanya mashambulizi ya risasi yaliyosababisha vifo vya watu sita papo hapo ambapo wengine watatu walipoteza maisha kutokana na majeraha makubwa ya risasi.

No comments:

Post a Comment