#TheTREND Ni kwa story/ Topic au mtu aliye make headlines na kuzungumziwa sana kwa namna yoyote ile kwenye social networks kwa siku hiyo, Kwa kuanzia tunae Honorable Mohammed Dewji (MP) ambaye hivi karibuni amechauguliwa kuongoza kamati fulani hivii...Ni ipi hiyooo??? Continue reading.....
Serikali ya Tanzania imeunda Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars itakayokuwa na jukumu la kuhakikisha Taifa Stars inawezeshwa na kuandaliwa ipasavyo katika michuano ya kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwaka 2014, ikiwa ni pamoja na kuunda kikundi cha kuishangilia timu ya Taifa ndani na nje ya nchi.
Kamati hiyo itaongozwa na Mhe. Mohamed Dewji (MB) ambapo wajumbe wengine ni: Mhe Mohamed Dewji, Bi. Teddy Mapunda, Dkt. Ramadhani Dau, Bw. Dioniz Malinzi, . Bw. Abji Shabir, Bw. George Kavishe, Mhe. Mohamed Raza, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Joseph Kusaga, Mhe. Kapt. John (Mb) Komba na Mhe. Zitto Kabwe (Mb).
Here are some of the congratulatory message from Our Tanzania's football fans.
No comments:
Post a Comment