HOME

Apr 18, 2013

FOOTAGE: MLIPUKO MKUBWA KATIKA KIWANDA CHA MBOLEA!!

Mamia ya watu wameripotiwa kujeruhiwa na wengine kunaswa katika jengo lililokuwa linawaka moto baada ya mlipuko mkubwa kutokea katika kiwanda cha mbolea karibu na mji wa Waco katika jimbo la Texas nchini Marekani.

Vikosi vya kuzima moto, Magari ya wagonjwa na helikopta sita zimekimbizwa katika eneo la tukio kukabiliana na janga hilo kubwa.

Habari zinasema kuwa majengo kadhaa yameripotiwa kushika moto,
mengine ni ya karibu na makazi ya watu.

Watch the video kushuhudia tukio zima...

No comments:

Post a Comment