HOME

Apr 22, 2013

'LIQHER' YA PREZZO GUMZO...ICHEKI HAPA!!

 
The King of bling ambaye ni mkali wa Michano Afrika Mashariki Jackson Makini maarufu kama Prezzo amerudi tena na bonge moja  la swag kwa kutoa kichupa kipya alichokibatiza jina 'Liqher' .

Prezzo ambaye awali alitoa ngoma mahususi wa kumuenzi aliyewahi kuwa mpenzi wake Goldie Harvey amesema kuwa hivi sasa ameachia kichupa hicho rasmi ambacho tayari kimeanza kuleta  malumbano katika tasnia ya muziki nchini Kenya kutokana na wimbo huo kujawa na baadhi ya picha ambazo zimeleta gumzo ndani ya tasnia hiyo.

Pata kushuhudia ninachokizungumzia kwa kucheki Full Video ya ngoma hiyo hapo chini. Enjoy!! 

No comments:

Post a Comment