Marehemu Bi. Kidude akiwa stejini katika moja ya matamasha ya Sauti za Busara. Chini ni Video ya nyimbo ambayo mwanamuziki kutoka Congo Samba Mapangala aliitunga baada ya kutembelea Zanzibar na kukunwa na Bi Kidude hadi akamtungia kibao hicho ''Zanzibar''. |
No comments:
Post a Comment