HOME

Apr 19, 2013

SPIKA MAKINDA: WABUNGE 5 KUTOLEWA NJE NI ''HALALI''!!

Spika wa bunge la Tanzania Mhe. Anna Makinda ametoa ufafanuzi kuhusu kitendo cha kutolewa nje ya ukumbi wa bunge wabunge watano katika kikao cha juzi jioni pamoja na kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge kwa siku tano adhabu iliyotolewa na Naibu spika wa Bunge Job Ndugai.

Hatua hiyo imekuja baada kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mhe. Freeman Mbowe jana kuhoji bungeni mjini Dododma kuhusiana na kanuni ipi iliyompa nguvu naibu spika Job Ndugai kutoa adhabu hiyo.

Spika Makinda amefafanua suala hilo, Msikilize hapo chini....

No comments:

Post a Comment