HOME

Apr 22, 2013

RIHANNA DIAMONDS WORLD TOUR COMEBACK [PHOTOS]!!


Watu kibaooo!!
Tarehe 20 wiki iliyopita ilikuwa story nyingine baada ya Rihanna kupiga show kubwa Diamonds World Tour stop Fort Lauderdale! Enjoy Photos pamoja na video!!
Rihanna
Here! Mange Kimambi and Casie.. Great Fans of Rihanna kutoka Tanzania waliwakilisha vyema sana Bongo!!

No comments:

Post a Comment