Pichani Mheshimiwa Celina Kombani bungeni, Dodoma. |
Waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma nchini Tanzania, Mheshimiwa Selina Kombani muda mfupi uliopita wakati akijibu hoja za wabunge kuhusu bajeti ya ofisi ya rais Menejimenti ya Utumishi wa umma ametoa onyo kali kwa watumishi wote wa umma ambao wanatumia rasilimali vitu za serikali kuperuz mitandao ya kijamii.
Mheshimiwa Kombani amesema kukiuka agizo hilo hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya mtumishi yeyote atakayekiuka. Zaidi sikiliza hapo chini...
No comments:
Post a Comment