Mahakama nchini Pakistan imeamuru kukamatwa kwa kongozi wa zamani wa kijeshi Pervez Musharraf kwa kuwaweka chini ya ulinzi majaji majumbani kwao mwaka 2007.
Bw. Musharraf alikuwa katika mahakama kuu ya Islamabad wakati majaji wakitoa amri hiyo ambapo amekuwa akitafuta dhamana katika kesi hiyo.
Polisi waliokuwepo katika mahakama hiyo hawakakumkata wakati amri hiyo ilipotolewa.
No comments:
Post a Comment