HOME

Apr 22, 2013

MTOTO HUYU AMEPOTEA....ANATAFUTWA!!

Mtoto Kuruthumu Yusuph (pichani) mwenye umri wa miaka 10 anatafutwa na wazazi wake jijini Dar es salaam, amepotea tangu jana majira ya saa tano asubuhi maeneo ya nyumbani kwao Kijitonyama kwa Ally Maua baada kutumwa kwenda kununua mboga mara baada ya kurudi kutoka shuleni.

Binti huyo mdogo anasoma darasa la tatu anafutwa na wazazi wake ambao wameomba kwa yeyote atakayemuona tafadhali atoe taarifa katika kituo chochote cha polisi au piga simu namba +255 (0) 658 51 60 19.

No comments:

Post a Comment