Muda si mrefu nimepishana na Shaa akiwa amependeza sana na style take ya mavazi na nywele na kwa idhini yake akakubali nimpige picha niweze ku share na nyie Fans wake muone alivyo tokelezea.
Shaa anayetamba na ngoma ya Lava Lava alikuwa Studio kwa ajili ya shughuli zake binafsi za muziki and siku si nyingi mtajua nini kinafuata kutoka kwake endelea kutembelea Blog hii ntakupa Info kamili alizofunguka kwangu ili mashabiki wake mjue maana amefunguka sanaaa hadi akakiri this was the best Interview ever.
Kama unavyomuona in kwa karibu She Looks Amazing!!
No comments:
Post a Comment