Baada ya habari kusambaa nchini Nigeria juu ya ushiriki wake muigizaji wa Nollywood ambaye pia ni msanii wa muziki Tonto Dikeh kwenda Big Brother House Afrika Kusini, hatimaye shosti huyo akana taarifa hizo akiziita ni za uzushi.
Nyota huyo alitajwa kuwa mmoja wa washiriki wa shindano hilo maarufu ambalo linatarajiwa kuanza rasmi tarehe 26 mwezi May mwaka huu nchini Africa Kusini.
Tonto anayejulikana kwa jina halisi Tonto Charity Dikeh, ametweet kwa mashabiki wake kuelezea situation hiyo ilivyo.
No comments:
Post a Comment