HOME

Apr 18, 2013

CHRIS TUCKER KU-HOST BET AWARDS 2013!!

Mwigizaji na mchekeshaji maarufu duniani, Chris Tucker ametangazwa kuwa ndiye mtu atakayeongoza sherehe za tuzo za BET za mwaka huu ambazo zitafanyika Tarehe 30 mwezi June.

Tucker mwenyewe amezungumza na kusema kuwa, anafurahi sana kupata heshima ya kufanya kazi hii na kwa sasa anasikilizia dili hilo kwa hamu nafasi ya kuwa sehemu ya tukio hili kubwa.

Kwa mwaka huu, sherehe za tuzo hizi zitachukua siku 3 mfululizo kuanziatarehe 28 June ambapo nyota watakaopiga show hiyo inayosubiriwa ni pamoja na Beyonce, Kendrick Lamar, R Kelly pamoja na The Jacksons.

No comments:

Post a Comment