HOME

Apr 18, 2013

MR. NICE ARUDI UPYA.... AGONGA COLLABO NA DNA WA KENYA!!

Unamkumbuka Mr. Nice?? Yess huyu ni Msanii aliyetamba sana nchini Tanzania na nyimbo zake kama Kidali poo na Fagilia na baadae kupotea katika sura ya muziki nchini, Sasa msanii huyo ameamua kurudi kivingine na kupiga Collabo na msanii kutoka Kenya anayefahamika kwa jina na DNA na huenda mwaka huu ukawa mzuri kwake...

Mr Nice alijipatia umaarufu mkubwa sana Tanzania na East Afrika kwa ujumla sasa amejikita katika lebo ya Grandpa Records inayowasimamia wasanii wengi Kenya akiwemo DNA na kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la TAFUTA ambayo iko tayari kutikisa vituo vya radio na TV Bongo na nje ya mipaka yake. Well, Kila la kheri kwa Mr Nice people expect a lot from you brother.

Shuka chini To watch the Video.......

No comments:

Post a Comment