Hii Itakuwa Tarehe 30 April mwaka huu ambayo itaangukia siku ya Jumanne katika mkesha wa Mei Mosi. Ben Pol & The Band will be perfoming Kuanzia saa mbili kamili usiku till down na kiingilio chako yaani Entrance 10,000 (kawaida) VIP -50,000 , pale pale Ambassadors Lounge.
Hapo chini ni Teaser ya mzigo mzima ambao Ben Pol atauachia. Don't miss!!
No comments:
Post a Comment