HOME

Apr 19, 2013

VIDEO: FANTASIA'S AMAZING PERFORMANCE @AMERICAN IDOLS!!

Miaka tisa baada ya kushinda mashindano ya “American Idol,” Fantasia alionyesha kurudi tena kule nyota yake ilikoanzia kung'aa.

Akiwa amependeza sana in a white gown Fantasia mwenye miaka 28 alipiga show nzuri ya nyimbo yake ya “Lose to Win,”ikiwa ni single yake ya kwanza ya album yake ya nne inayokuja iitwayo Side Effects of You, inayotarajiwa kutoka April 23.
Baada ya perfomnce hiyo mwanamuziki Nikki Minaj alitweet “Fantasia just had the best performance of this season. wow. Chills,” kupitia ukurasa wake wa Twitter wakati Mariah Carey akiongezea kwa kusema, “Go Fantasia, L O V E you, beautiful voice..beautiful person.”.

Hiyo hapo Video yenyewe ya Fantasia aki perfom. Maoni??

No comments:

Post a Comment