HOME

Apr 17, 2013

#INSTAPHOTOS: ON SET MUZIKI GANI YA DIAMOND NA NEY WA MITEGO!!

As we find news from Different Sources, Instagram imekuwa moja ya source kubwa ya stories nyingi zinazo make headlines Bongo. 
 Huko utakuta picha nyingi za watu maarufu wa ndani na nje ya nchi and Bongo mastaa wengi wamekuwa wakitupia picha mara kwa mara kama kwenye other social networks kuwajulisha mashabiki wao wanachofanya ama walichofanya before. So picha interesting zinazoweza kufurahisha macho yako ama kukupatia habari unaweza kuzipata huko kwa Instagram. Kwa leo tumecheck page ya Diamond ambaye ametupia picha kadhaa akiwa On Set kutengeneza video mpya ya ngoma yao inayofanya vizuri ''Muziki Gani'' akiwa sambamba na Ney wa Mitego. Enjoy!!! 



Looking Forward to a great video. Pigeni kazi vijana!!

No comments:

Post a Comment