HOME

Mar 10, 2012

RAIS KIKWETE KUKUTANA WAZEE WA DAR ES SALAAM JUMATATU!!


Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, ameahirisha mkutano wake na wazee wa jiji la Dar es Salaam uliokuwa ufanyike katika ukumbi wa Diamond Jubilee jana jioni badala yake, rais atakutana na wazee hao Jumatatu saa tano asubuhi katika ukumbi huo huo wa Diamond Jubilee.


Pamoja na mambo mengine ,rais alitarajiwa kuzungumzia mgomo wa madaktari unaoendelea nchini hivi sasa.

No comments:

Post a Comment