HOME

Mar 7, 2012

AFRIKA KUSINI WAANDAMANA!!


Vyama vya wafanyakazi nchini Afrika Kusini vimefanya maandamano kupinga viwango vipya vya ushuru wa barabara kati yaJohannesburgna mji mkuu Pretoria.


Maelfu wamejitokeza mitaani kwa mfano wa mikutano ya wakati ya kupinga ubaguzi wa rangi ambapo shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cosatu linasema utaratibu huo mpya utawaumiza wananchi.


Maandamano hayo yaliyoandaliwa na Cosatu (Congress of South African Trade Unions) yanatokea katika miji 32 na majiji yote nchini Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment