Joseph Kony, |
Vuguvugu linaloonyesha kanda ya video kuhusu kiongozi wa kundi la waasi la LRA, Joseph Kony, imesitisha maonyesho ya kanda hiyo kaskazini mwa Uganda.
Filamu hiyo ya nusu saa, iitwayo ''Ivisible Children'' ilitengezwa na wanaharakati nchini Marekani kushinikiza viongoziwa dunia kumkamata kiongozi huyo wa waasi Joseph Kony. ,
Filamu yenyewe imekuwa enye kutizamwa sana kuliko zote kwenye mtandao wa You Tube, tangu kutolewa kwake wiki jana. Imetazamwa na watu milioni 78 wiki jana pekee.
No comments:
Post a Comment