Prudence Gerald |
Ladies and Gentlemen...Usikose show kali saa moja usiku hii leo kutoka East Africa TV ijulikanayo kama 5 Connect ikiletwa kwako na Mtangazaji Prudence Gerald kama kawaida.
Jumatano ya leo tunazungumzia mada ya Mapenzi isemayo Vigezo vya Kumpata Mwenzi wa Maisha.. mchango wako wa ujumbe mfupi na barua pepe ni muhimu sana. Usikose.
Kumbuka na Ndani ya East Africa Tv Pekee (Your No. 1 Youth Channel).
YAH THUMB UP
ReplyDelete