HOME

Mar 26, 2012

MEDIA DAY BONANZA MATUKIO EXCLUSIVE!!




Bonanza la waandishi wa habari ''Media Day'' lilifanyika Jumamosi pale msasani Club ambapo waandishi walipata nafais ya kuburudika na michezo mbalimbali na muziki toka kwa Bendi ya Fm Academia na TMK Wanaume Family.Juu wanenguaji wa FM Academia wakidondosha Ngwasua wakipewa Sapoti na vijana wa EATV.

Watangazaji wa East Africa Radio kutoka kushoto Michael Baruti wa Supermix,Ian Dialo wa EA Breakfast na Anna Pitta wa kipindi cha Powerjams.

Vijana wa kazi kutoka Ze Comedy ya East Afrika Tv

Cheerful Moments

Kutoka kushoto Fatma Almas Nyangasi wa ITV,Halima Fred producer EATV,''Big Boss' Lydia Igarabuza pembeni kushoto Marco Killo na Fadhili Kiwia kutoka EATV.

Kushoto mtangazxaji wa Afro Beat Kijja,Prudence wa 5Connect na mama Dotnata.





TMK Wanaume Family wakiwa na Bibi Cheka na Dogo Aslay ambaye aliburudisha vya kutosha.

Irene Moshi (Kushoto) mama Dotnata na Bhoke kutoka EATV




Yakafanyika mashindano ya kucheza muziki hapo juu waandishi mbalimbali wakishindana kusakata muziki wa FM Academia.

Vijana wa EATV Irene Moshi,Sophia Proches,Wilbroad Anthony,Zam zam Muhidini na Halima Fred.

Ripota wenu Marygoreth Richard.

Mkuu wa vipindi EATV Lydia Igarabuza na mtangazaji wa East Africa Radio Ian Dialo wakifurahi pamoja

Kutoka news Department EATV Marygoreth Richard na Fadhili Kiwia.

Sauda Mwilima wa Star Tv na Irene Moshi wa EATV wakishow love.

Mgeni rasmi aliyebariki bonanza hilo Mhe. Samwel Sitta akizungumza machache wakati wa kufunga bonanza hilo

Juma Pinto

Meza Kuu waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Samwel Sitta pamoja na wageni wengine katika bonanza hilo

No comments:

Post a Comment