HOME

Mar 27, 2012

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mh. January Makamba akitoa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Diana Chilolo.
Kamati ya bunge ya nishati na madini nchini Tanzania imesema shirika la umeme nchini Tanzania (Tanesco) lipo katika hali mbaya kifedha na kwamba huenda nchi itaingia gizani iwapo serikali haitachukua jukumu la kuikwamua kifedha.


Kwa mujibu wa mh. Makamba ameitaka serikali kulipatia shirika la umeme Tanesco, kiasi cha shilingi bilioni 408 ilizoahidi toka mwaka jana kuwa ingeipatia Tanesco iweze kununua mafuta kwa ajili ya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta.

No comments:

Post a Comment