HOME

Mar 22, 2012

DAKTARI ASEMA MUAMBA ''ALIKUFA'' KWA DAKIKA 78 BAADA YA KUANGUKA!!


Daktari wa klabu ya Bolton Wanderers Jonathan Tobin amesema mchezaji Fabrice Muamba alikuwa katika hali ya kufa kwa dakika 78 baada ya kuanguka uwanjani.


Katika mahojiano yaliyokuwa na hisia kubwa na BBC SPORTS daktari Tobin amesema katika muda wa dakika 48 baada ya mchezaji huyo kuanguka na kufika hospitali na dakika nyingine 30 baada ya hapo Fabrice alikuwa amekufa kwa wakati huo.

No comments:

Post a Comment