HOME

Mar 10, 2012

Q CHILLAH AIBUKIA NDANI YA KIPINDI CHA KUZUNGUMZA NA MICHAEL BARUTI NA ZEMBWELA!!

Q Chilla ukipenda Q Chief akiwa ndani ya Studio za East Africa Radio ''All Hit Station''

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Aboubakar Shaban Katwila'Q Chief' akiwa na mtangazaji wa Kipindi cha SuperMix Zembwela ikiwa ni kiijumaa zaidi ambapo alizungumzia mambo mengi kuhusu muziki wake na ujio wake mpya.

Q Chief akiwa na mwendeshaji wa kipindi cha Supermix Michael Baruti wakati alipofika katika studio za East Africa Radio kufanya mahojiano kuhusu muziki wake.

No comments:

Post a Comment