RAIS KIKWETE AONGOZA KILELE CHA WIKI YA MAJI IRINGA LEO!!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo na eneo la kusafisha maji yanayotumika katika mji wa Iringa na vitongoji vyake huko Ndauka, katika manispaa ya Iringa mjini leo asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya Bwana Adamn Grodzicki(Wapili kushoto),na mwakilishi wa Ubalozi wa Ujerumani Bi. Gisela Habel wakipiga makofi muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji wa mji wa Iringa leo asubuhi.Mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Ujerumani pamoja na jumuiya ya Ulaya.
Is Gisela Habel from Germany? Was she ever was in mexico city in the late 90's?
ReplyDelete