HOME

Mar 10, 2012

MADAKTARI KCMC WATANGAZA KUANZA MGOMO!!


Chama cha madaktari Kanda ya Kaskazini (MAT) wametangaza mgomo wa madakari usiokuwa na kikomo kuanzia Ijumaa mchana kwa lengo la kushinikiza serikali kutimiza madai yao ikwemo kuwawajibisha waziri wa afya Dk. Hajji Hponda na naibu wake Dk. Lucy Nkya.


Akitoa tamko la mgomo huo katibu wa chama cha madaktari kanda ya kaskazini Dk Lairumbe Silangei amesema wanasitisha kutoa huduma kwa wagonjwa hadi hapo serikali itakapotimiza madai
yao.


Nao baadhi ya wananchi waliofika katika hospitali ya rufaa ya KCMC wameiomba serikali kukaa na madakrai hao ili kusitisha mgomo huo kwa kuwa watakaoathirika zaidi ni wananchi wasio na hatia.

No comments:

Post a Comment