HOME

Mar 10, 2012

BALOTELI AWATAKA MASHABIKI KUTOMKASHIFU TEVEZ!!

Carlos Tevez

Mshambuliaji wa Manchester City Mario Balotelli amewaambia mashabiki wa klabu hiyo wsimzomee na kutoa matamshi ya kejeli dhidi ya Carlos Tevez atakapoanza kuichezea tena klabu hiyo.


Tevez anatarajiwa kurudi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo baada ya mazoezi ya wiki mbili na hajaichezea klabu hiyo tangu mwezi Septemba mwaka jana.

No comments:

Post a Comment