HOME

Mar 10, 2012

MKUTANO WA RAIS JAKAYA KIKWETE NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA ULIOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM!!

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha madaktari nchini. Wa pili kushoto ni Mratibu wa mgomo wa madaktari, Stephen Ulimboka na Kulia ni Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala  Mkopi

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwakatika mazungumzo na viongozi wa Chama Cha Madaktari nchini(MAT) ikulu jijini Dar esSalaam leo mchana.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment