Mar 14, 2012
MSAADA TUTANI....USIKOSE 5 CONNECT LEO SAA MOJA USIKU!!
Ni mabadiliko ya hali ya hewa...Jambo ambalo japokuwa ni la faraja na matumaini makubwa mara nyingine mabadiliko haya yanaweza kutuletea athari kubwa sana maishani.
Mtazamaji mpenzi wa East Africa Television... Ni siku nyingine tene nakualika kwa saa moja kushiriki nami kwenye show uipendayo ya 5 Connect ya East Africa TV saa moja kamili leo usiku...
Tuangalie tunajiandaa vipi kukabiliana na mabadiliko haya ya hali ya hewa,tufanye nini kufanya athari za mabadiliko haya kupungua,Kuna magonmjwa ya mlipuko yanayosababishwa na Wakati wa Masika, tujadili hayo na mengine mengi Kwenye 5 Connect.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment