HOME

Mar 7, 2012

MADAKTARI WASISITIZA KUENDELEA NA MGOMO!!

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi, akisisitiza tamko la chama hicho

Madaktari nchini Tanzania leo wametangaza kuanza mgomo wa nchi nzima usio na kikomo kuishinikiza serikali kuwafukuza kazi waziri wa afya Dkt Haji Mponda na naibu wake Dkt Lucy Nkya.


Rais wa chama cha madaktari, Dkt Namala Mkopi ametangaza kuanza kwa mgomo huo kwa madai kuwa suala la kuondolewa kwa waziri na naibu waziri ni sehemu ya maazimio waliyofikia kati yao na serikali.

No comments:

Post a Comment