HOME

Mar 6, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI LEO MJINI MOSHI!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Chuo cha Polisi mjini Moshi leo
Machi 6, 2012 tayari kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh
Shamsi Vuai Nahodha na kushoto kwake ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi
Mwema.

Sehemu ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi
wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi uliofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete mjini Moshi leo Machi 6, 2012

 Rais Jakaya Kikwete akizindua mojawapo ya vitabu vya muongozi wa
Jeshi la Polisi  wakati wa  ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6,
2012  Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha wa kulia
Rais ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano
Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi
mjini Moshi leo Machi 6, 2012 (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment