Familia ya mchezaji wa timu ya Bolton Fabrice Muamba ime post kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa Twitter picha ya mchezaji huyo akiwa amekaa katika chumba chake hospitalini.
Hiyo ni picha ya kwanza kutolewa hadharani tangu apate matatizo ya moyo katika mechi ya michuano ya kombe la FA kati ya timu yake na Tottenham Machi 17 mwaka huu.
Mchezaji
huyo mwenye miaka 23 alianguka uwanjani na kupata mshtuko wa moyo kabla ya kufikishwa hospitali ambapo kwa mujibu wa madaktari hali yake inaendlea vizuri sana kulinganisha na awali alivyofikishwa hospitalini hapo.
Mar 30, 2012
WANAWAKE WATATU WAKAMATWA WAKIIBA PESA KWENYE DUKA LA GESI!!
Hapo askari wakijaribu kuzuia raia wasivunje geti kuingia ndani kuwatoa wahalifu |
Polisi walifanyikiwa kuwaingiza ndani ya gari chini ya ulinzi mkali na vurugu za wananchi waliokuwa wanarusha mawe. |
Wananchi wakiwa ''wamepaniki'' |
Mar 29, 2012
BLASTS AS BAGHDAD OPENS ARAB SUMMIT ON SYRIA PEACE PLAN!!
Arab leaders have begun talks on a UN-backed peace plan for Syria at the first major international summit to be hosted by Iraq in decades.
The UN-Arab League plan would see a UN-monitored end to fighting, troops pulled out of opposition areas and access for humanitarian services.
Syria agreed to the initiative on Tuesday but violence has continued.
A number of explosions were heard in central Baghdad as the summit was starting.

Mar 28, 2012
WANAFUNZI CBE WAPEWA ONYO KUVAA NGUO ZISIZO NA MAADILI!!
Kaimu mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Bw. Athman Ally |
Chuo cha elimu ya biashara cha jijini Dar es Salaam nchini Tanzania (CBE) kimeonya kuwa kitawachukulia hatua kali wanafunzi na watumishi wa chuo hicho watakaovaa mavazi yasiyoendana na maadili ya Kitanzania pamoja na utumishi wa umma.
Kaimu mkuu wa chuo hicho Bw. Athumani Ahmedi amesema kuwa maamuzi hayo yamo katika sheria mwongozo wa mavazi wa chuo hicho ambapo wanafunzi watakaobainika watachukuliwa hatua kali ikiwemo kuzuiwa kuingia chuoni hapo au kusimamishwa masomo kwa kipindi cha miezi mitatu.
Bw. Ahmedi amesema maamuzi hayo magumu yamepitishwa na baraza la utawala la chuo hicho hasa baada ya wanafunzi na watumishi wa chuo hicho kutoheshimu na kukaidi hatua za awali za miongozo ya mavazi ya heshima na yanayoendana na utamaduni wa Kitanzania.
MTALII AHUKUMIWA NCHINI UGANDA KWA KUWANYANYASA KIJINSIA ZAIDI YA WATOTO 50!!
Emin Baro |
Mtalii huyo Emin Baro mwenye miaka 53 ambaye ni mwalimu kutoka Turkey amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au faini ya shilingi milioni 6 za Uganda na Mahakama ya mwanzo ya Nakawa.
Baro ambaye aliingia nchini humo kama mtalii miaka sita iliyopita amekiri kutenda makosa hayo kwa matumizi mabaya ya kompyuta na kuwa na kumiliki picha za ngono za watoto.
KRIS HUMPHRIES AKATAA KUSAINI NYARAKA ZA TALAKA KWA KIM KARDASHIAN!!
Kris Humphries ametoa kali zaidi baada ya kudai kuwa anastahili kulipwa dola 97,222, zaidi ya shilingi milioni 155 za kitanzania kila siku ndani ya muda wa siku 72 ambao ndoa yake na Kim Kardashian ilidumu ikiwa ni katika taratibu za kukamilisha masuala ua talaka.
Kris anawekea vikwazo mbalimbali katika taratibu za makubaliano ya kuachana kwake na Kim kwa kukataa kusaini nyaraka za talaka mbali na kuwa zimezingatia malipo mazuri ya kuvunja mkataba huo, lakini kwa hesabu za jumla, jamaa huyu anataka dola milioni 7, zaidi ya shilingi bilioni 11 za kitanzania.
Kim anashukiwa kujiingiza katika ndoa na Kris ili kujipatia faida kibiashara na jambo hili limemuumiza sana Kris ambaye kwa sasa anakomaa kwa kuamini kuwa pengine kuongeza muda zaidi wa kushughulikia talaka yake kutampatia fursa ya kuvuna pesa zaidi.
Hata hivyo Mwanadada Kim amesisitiza kuwa alifunga ndoa na Kriss kutokana na Upendo na sio kwa malengo ya kujipatia faida kama inavyotafsiriwa
BESIGYE ASHTAKIWA!!
Kiongozi wa upinzani Dk. Kizza Besigye na wengine 14 wameshtakiwa mahakamani kwa kosa la kufanya mkutano kinyume cha sheria ambao ulisababisha kutoa mauaji ya naibu inspekta wa polisi (AIP) John Bosco Ariong.
Besigye pamoja na Bw. Lukwago,Meya wa wialaya ya Kawempwe Bw. Mubarak Munyagwa,kiongozi wa wanawake wa chama cha FDC Ingrid Turinawe na mbunge wa wanawake wa jiji la Kampala Nabilah Naggayi na Mwanaharakati wa haki za wanawake Catherine Dembe leo walisimama mbele ya hakimu mkazi mkuu wa mahakama ya Buganda Road Eleanor Khainza.
Mashtaka hayo pia yanahusisha kumjeruhi askari aliyekuwa zamu ambapo mwanasheria wa watuhumiwa hao David Mpanga aliwasilisha mahakamani kuwa watuhumiwa hao ni wanajamii wanaoheshimiwa.

HEART SPECIALIST DOUBTS IF MUAMBA WILL BE ABLE TO PLAY FOOTBALL AGAIN!!
A leading heart specialist has cast doubts on whether Bolton midfielder Fabrice Muamba will ever play professional football again.
Peter Weissberg, the Medical Director of the British Heart Foundation, believes Muamba's sudden collapse means he can never truly be cleared to compete in the future - even if he makes a full recovery.
Former England Under-21 international Fabrice Muamba was rushed to hospital after collapsing during the FA Cup quarter-final against Tottenham at White Hart Lane earlier in the month.
Return: A heart specialist says Fabrice Muamba (left) is likely to be advised not to play again
With 41 minutes of the game gone, with no-one near him, 23-year-old Muamba suddenly collapsed to the floor and lay with his face down on the turf. It was later confirmed he had suffered a heart attack.
READ MORE

HUDUMA MPYA YA KISASA INAYOKUUNGANISHA MTANDAO WA MICHUZI BLOG BURE!!
Tovuti yako uipendayo inakupa huduma ya kujivinjari bure kutoka Uhuruone.
Muhidini Issa Michuzi akishikiriana na Uhuruone wanawapatia wakazi wote wa Dar es Salaam huduma ya “Wifi hotspots” ambayo itawapa wakazi wote wa Dar es Salaam huduma ya bure ya kutembelea tovuti ya Michuzi. Kwa kupitia mitambo yao ya “Wifi Mesh” iliyopo Dar es Salaam ambayo imeunganishwa na tovuti ya Michuzi,wakazi wa Dar es Salaam wanatangaziwa kwamba wawashe kompyuta zao na kuunganishwa na taarifa za punde bila gharama yoyote.
Akikaririwa katika mahojiano ndugu Issa Michuzi alisema hivi, “Ni mapinduzi ya kweli ambapo Watanzania wanachukua hatua katika kuleta taarifa mbalimbali kwa wananchi katika viwango nafuu. Ninaamini hii itaongeza mawasiliano kwa watu wetu na ni ndoto yangu kwamba tovuti ya Michuzi itakua huru kufika kwa Watanzania wote hivi karibuni”.
ZAIDI:SOMA HUMU

MALI YASIMAMISHWA UANACHAMA ECOWAS!!
Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS imesimamisha uanachama wa Mali kuafuatia hatua ya jeshi kuoindua serikali ya Rais Amadou Toumani Toure .
Viongozi wa Jumuiya hiyo walifikia uamuzi huo katika mkutano uliofanyika nchini Ivory Coast.
Sasa viongozi hao kutoka nchi sita wanachama wa ECOWAS wamepanga kusafiri hadi mjini Bamako Mali ili kukutana na baraza kuu la jeshi linalotawala nchi hiyo.
Akihutubia waandishi wa habari baada ya mkutano huo Rais wa Ivory Coast, alisema Amadou Toumani Toure bado yuko hai na yuko katika hali njema .

Mar 27, 2012
KENYA YAFANYA MABADILIKO MAKUBWA BARAZA LA MAWAZIRI!!
Waziri mpya wa sheria Eugene Wamalwa (kulia) akikabidhiwa ofisi na Mhe. Mutula Kilonzo aliyekuwa waziri wa wizara hiyo. |
Mabadiliko hayo makubwa ya baraza la mawaziri yamepelekea waziri wa utalii wa nchi hiyo Bw. Najib Balala kufukuzwa.
Mawaziri Moses Wetangula na Mutula Kilonzo wamehamishwa katika mabadiliko hayo makubwa yaliyotangazwa jana usiku na rais Mwai Kibaki na waziri mkuu Raila Odinga.
Waziri Wetangula ambaye amerejea nchini humo Jumapili usiku baada ya kukwama nchini Mali kufuatia mapinduzi ya Serikali amehamishiwa wizara ya biashara wakati Mutula Kilonzo amekuwa mkuu wa wizara ya elimu akichukua nafasi ya Bw. Sam Ongeri ambaye amekuwa waziri wa mambo ya nje.
Waziri mpya wa sheria nchini Kenya aliyeteuliwa jana Eugene Wamalwa amesema kwamba atatekeleza katiba mpya na kutumikia kwa uwezo wake wote kitaaluma.
WAUZA CHIPSI IRINGA WADAIWA KUCHANGANYA MAFUTA YA KULA NA YA TRANSFOMA ZA UMEME!!
NA PAULINE KUYE - IRINGA
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wauza chipsi katika maispaa ya Iringa kuchanganya mafuta ya transfoma katika mafuta ya kukaangia chipsi jambo ambalo ni hatari kwa afya ya binadamu.
Wakizugumzia suala hilo wauzaji wa chips katika maispaa ya Iringa wamesema kuwa ni kweli suala hilo lipo, kwa baadhi ya wengi wao wamekuwa wakifanya hivyo kutokana na kutafuta faida kubwa kwani mafuta hayo yakichanganywa hayaishi haraka.
Wafanyabiashara hao wameeleza jinsi chipsi hizo zinavyokuwa baada ya kuchanganywa mafuta hayo ya kawaida na transfoma kuwa chipsi hizo huwa nyeusi na pia hupoteza radha.
Hata hivyo wamewashauri wezao wanaofanya jambo hilo kuacha mara moja kwani madhara watakayoyapata walaji ni makubwa kutokana na mafuta hayo kuwa na kemikali. na madhara hayo ni kama vile kansa ya tumbo na kupata ugonjwa wa ngozi .
Aidha kwa upande wake afisa afya manispaa ya iringa DEODATA LUKUPWA amesema kuwa hajawahi kupata malalamiko kama hayo ila ametoa agizo kwa wafanyabiashara hao wa chipsi ambao wanafanya hivyo kuacha mara moja ili kuokoa afya za walaji.
SOURCE:FULL SHANGWE

ALIYEMKASHIFU MUAMBA KWENDA JELA!!
Liam Stacey,akiwasili mahakamani. |
Liam Stacey mwenye umri wa miaka 21 amekiri kuchochea chuki za ubaguzi wa rangi ambapo amepelekwa jela siku 56.
Muamba amepata nafuu japo yupo katika chumba cha wagonjwa mahututi ambapio mechi kati ya klabu yake ya Bolton na Tottenham michunao ya FA ambao ulisimamishwa baada yake kuzirahi unachezwa tena leo usiku.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mh. January Makamba akitoa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Diana Chilolo. |
Kwa mujibu wa mh. Makamba ameitaka serikali kulipatia shirika la umeme Tanesco, kiasi cha shilingi bilioni 408 ilizoahidi toka mwaka jana kuwa ingeipatia Tanesco iweze kununua mafuta kwa ajili ya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta.
KENYA YAGUNDUA MAFUTA TURKANA!!
Kenya imegundua hazina ya kwanza ya mafuta katika kile kinaachoonekana kuwa ni mafanikio makubwa katika shughuli za utafutaji mafuta na gesi nchini humo.
Mafuta hayo yamegunduliwa katika eneo la Turkana na kampuni ya utafutaji mafuta kutoka nchini Uingereza ya Tullow Oil ambayo ndio iligundua mafuta katika bonde la Albertine magharibi mwa Uganda na nchini Ghana.
Akitangaza habari za kupatikana kwa mafuta, rais Mwai Kibaki amesema mafuta hayo yamepatikana katika kisima cha Ngamia kilichopo kijiji cha Kodekode wilaya ya Turkana Mashariki, umbali wa mita elfu moja chini ya ardhi.

SUDAN NA SUDAN KUSINI ZAPIGANA!!
Mapigano mapya yamizuka kati ya majeshi ya Sudan na yale ya Sudan kusini .
Pande zote zinasema kuwa mapigano hayo yametokea katika maeneo kadhaa ya mipaka kati ya mataifa hayo mawili.
Msemaji wa jeshi la Sudan Kusini amesema mapigano hayo ndio makubwa na mabaya zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hiyo ijipatie uhuru wake toka Sudan.
Na kuchipuka kwa mapiganao hayo mapya kumemfanya Rais Salva Kiir kuonya kuwa vita vinanukia eneo hilo
CHOCOLATE MAY KEEP PEOPLE SLIM!!
People who eat chocolate regularly tend to be thinner, new research suggests.
The findings come from a study of nearly 1,000 US people that looked at diet, calorie intake and body mass index (BMI) - a measure of obesity.
It found those who ate chocolate a few times a week were, on average, slimmer than those who ate it occasionally.
Even though chocolate is loaded with calories, it contains ingredients that may favour weight loss rather than fat synthesis, scientists believe.

Mar 26, 2012
''THE HUNGER GAMES'' YATENGENEZA REKODI US BOX OFFICE!!
Filamu mpya ya ''The Hunger Games'' imeshika nafasi ya juu kabisa ya U.S. box office kwa kuvunja rekodi ya kuingiza kipato kikubwa katika siku ya kwanza ya kuachiwa kwake ikishuudia kuingiza dola milioni 155.
Filamu hii kali kuwahi kutokea pamoja na wahusika wake Jennifer Lawrence, Liam Hemsworth na Josh Hutcherson wamejipatia umaarufu mkubwa katika siku za karibuni tangu kuonyeshwa kwa mara ya kwanza kwa kazi yao huko Marekani.
Hunger Games sasa inakuwa filamu ya tatu kushikilia rekodi ya ufunguzi mzuri na wa mafanikio kuliko zote nyuma ya Harry Potter mwaka jana na The Deathly Hallows: Part 2 ya mwaka 2008 ambazo zote pia zilijivunia mamilioni ya dola katika mauzo yake ya siku ya kwanza.
MEDIA DAY BONANZA MATUKIO EXCLUSIVE!!
Watangazaji wa East Africa Radio kutoka kushoto Michael Baruti wa Supermix,Ian Dialo wa EA Breakfast na Anna Pitta wa kipindi cha Powerjams. |
Vijana wa kazi kutoka Ze Comedy ya East Afrika Tv |
Cheerful Moments |
Kutoka kushoto Fatma Almas Nyangasi wa ITV,Halima Fred producer EATV,''Big Boss' Lydia Igarabuza pembeni kushoto Marco Killo na Fadhili Kiwia kutoka EATV. |
Kushoto mtangazxaji wa Afro Beat Kijja,Prudence wa 5Connect na mama Dotnata. |
TMK Wanaume Family wakiwa na Bibi Cheka na Dogo Aslay ambaye aliburudisha vya kutosha. |
Irene Moshi (Kushoto) mama Dotnata na Bhoke kutoka EATV |
Yakafanyika mashindano ya kucheza muziki hapo juu waandishi mbalimbali wakishindana kusakata muziki wa FM Academia. |
Vijana wa EATV Irene Moshi,Sophia Proches,Wilbroad Anthony,Zam zam Muhidini na Halima Fred. |
Ripota wenu Marygoreth Richard. |
Mkuu wa vipindi EATV Lydia Igarabuza na mtangazaji wa East Africa Radio Ian Dialo wakifurahi pamoja |
Kutoka news Department EATV Marygoreth Richard na Fadhili Kiwia. |
Sauda Mwilima wa Star Tv na Irene Moshi wa EATV wakishow love. |
Mgeni rasmi aliyebariki bonanza hilo Mhe. Samwel Sitta akizungumza machache wakati wa kufunga bonanza hilo |
Juma Pinto |
Meza Kuu waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Samwel Sitta pamoja na wageni wengine katika bonanza hilo |
Subscribe to:
Posts (Atom)