HOME

May 2, 2012

WAUZA MIRUNGI WAGUNDUA NJIA MPYA!!

Wafanyanyabiashara mirungi 'Miraa' wemegundua mbinu mpya ya kuisafirisha kutoka Kenya kuja Dar es salaam kupitia mikoa ya Kanda ya Ziwa.


Taarifa za kiinteligensia zimeeleza kuwa wa sasa baada ya kuona wanabanwaaa polisi Wafanyabiashara hao wa bidhaa hiyo haramu wanatumia madumu ya mafuta ya kula ya lita tano, kumi na ishirini kwa kuyatoboa chini na kuyaziba kwa moto utadhani kuwa ni mafuta ya kula.


Pia wanatumia chupa za chai baada ya kutoa yai la ndani, mabegi ya nguo na maboksi.

No comments:

Post a Comment