HOME

May 7, 2012

HOLLANDE ASHEREKEA USHINDI !!

Kiongozi wa chama cha kisoshalisti nchini Ufaransa Bw. Francois Hollande anasherehea ushindi wa kiti cha urais baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliopita.


Bw. Hollande ambaye amepata chini ya asilimia 52 ya kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika jana amesema kuwa ana furaha kubwa kwa kuwa na uwezo wa kuwarudhia wananchi tumaini jipya.


Mgombea wa mrengo wa kati kulia Bw.  Nicolas Sarkozy anakuwa rais wa kwanza wa Ufaransa kutoshinda kipindi cha pili cha urais tangu mwaka 1981.

No comments:

Post a Comment